TAKASA NAFSI YAKO WAKATI UNAPOMGOJA YESU


Yesu Bwana wetu atakuja kama mwivi, wakati wa kujiandaa vema kiroho,nafsi na hata mwili wako. Nafsi ya mwanadamu hutamani vitu vingi vya mwilini hasa ambavyo havina afya ya masuala ya rohoni. Ewe mpendwa katika jina la Bwana Yesu mwokozi wetu jiweke tayari kwa kujitakasa nafsi na uchafu wote wa roho na mwili. 2kor7:1,2 Basi, wapenzi…

JINSI YA KUSOGEA NA KUONGEZEKA KATIKA MAISHA YA KIKRISTO.🚶


Originally posted on nenomaombishuhuda:
Neema ya BWANA Wetu Yesu Kristo NA upendo wa Mungu Baba na ushirika wa Roho mtakatifu vikae nasisi sote sasa NA hata milele. Amina NAPENDA KULETA SOMO HILI KWA MSAADA WA KRISTO YESU BWANA. Katika maisha ya Kiroho na uwokovu kunayo makundi mawili ya watu wanaoanza maisha ya ki kristo; .Wale…

MAOMBI NI AGIZO. 


Kuombea ni Agizo kwa wateule wote,  kama unavyoona katika Biblia kuna mistari inayoonyesha kuombea ni Agizo wala siyo ombi kwa watu waliokoka. Maana maombi yako ni msaada kwa maisha ya watu wengine.  Maombi ni njia ya mawasiliano  Mungu aliye Baba yetu wa Mbinguni.  Bwana Yesu Kristo mwenyewe alisema kwamba kama tunasali basi sala ielekezwe kwa…

JE!BWANA ANAFURAHIA MAISHA YAKO?


Watumishi wengi wanajisahau kuwa Mungu haangalii huduma kubwa tuliyona nayo, kumbe Mungu anaangalia mioyo yetu imekuwa kamaili kwake kiasi gani.  Usitumie miujiza na huduma kama kipimo cha kumshawishi kuwa Mungu atakukubali tu.  Mungu anataka usafi wa moyo.  Mimi na wewe pona yetu tunyenyekee kwa Mungu MUNGU ANAFANYA MAMB9 KWA AJILI YA JINA LAKE.  EZEKIEL 36:20…

YERUSALEMU MPYAA. 


UTANGULIZI Yerusalemu mpya imebuniwa na Mungu mwenyewe ili aishi na watakatifu wake,  yaani watu waliokombolewa kwa Damu ya mwana kondoo. Je! wewe mwenzangu unajiandaa kwenda kuishi huko na Bwana milele? ✋amani ni kwao wanaojiandaa kwenda huko.  UFUNUO 21:1-7 1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza…

PITIA NJIA NYEMBAMBA. 


Watu wengi hupenda kupitia katika mambo marahisi kufikia hatima yao.  lakini Yesu alisema tupitue mlango mwembamba,  na njia imesonga sana iendayo uzimani Mathayo : Mlango 7 14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.Mti na Matunda  Yafaa uchunguze hatua za njia zako. 

TEMBEA NA YESU 2018 SEHEMU YA KUMI NA MOJA. 


January/17/2018 KUJARIBIWA KWA IMANI YETU. 🔑Maana ya Imani 🔑maana ya majaribu. Mpendwa katika jina la Yesu, amani iwe kwako. katika maisha ya Imani kuna Majaribu mengi,lakini yatupasa kushinda. Imani ni kuwa na hakika ya mambo ya mambo yatarajiwayo. Ebrania 11.1-6.Chanzo chake ni Neno la Mungu Warumi 10:17. Majaribu ni vita dhidi ya imani yako, kwani…

TEMBEA NA YESU 2018 SEHEMU YA KUMI. 


HUDUMA YA KUTIA MOYO WA MUNGU 14/01/2018  ISAYA 35:3-10 3 Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea. 4 Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi. 5 Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa. 6…

TEMBEA NA YESU 2018, SEHEMU YA TISA. 


  KUKAA KATIKA UWEPO WA MUNGU By Pastor Dominick foundation Junuary 13, 2018 UTANGULIZI Kukaa hapa ina maana ya dumu,  ishi,  tembea katika uwepo wa Mungu katika Mambo yote uyatendayo katika Maisha yako.  Unapona watu wengi hukosea katika maisha hata watumishi wakubwa ni kwa sababu wametembea wenywe katika dunua hii ya vita, ambayo shetani anavita…

TEMBEA NA YESU 2018 SEHEMU YA SABA. 


  JINA LAKO LIMEANDIKWA KWENYE KITABU CHA UZIMA.  UTANGULIZI.  Mungu  huwa anawaandika watu wale ambao wamekiri dhambi zao na kuzitubu kwa kuziacha kabisa. basi unakuwa mwana wa Mungu na kuwa mrithi wa mambo ya rohoni na mwilini pia.  (Yohana 1:12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanya watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake.)…

TEMBEA NA  YESU 2018 SEHEMU YA SITA


SOMO: UFUNGUO WA MAARIFA Ufunguo wa  maarifa ni chanzo cha mafanikio katika maisha ya mwandamu,  ukiwa na maarifa umefanikiwa katika mambo yote.  wanasheria walitakiwa wawaelimishe watu sheria za Mungu na haki za watu katika jamii, lakini walikataa na wao wenyewe hawana sehemu katika maarifa hayo.  Yesu aliwakemea watu wa jinsi hiyo kwani hawatumii ufahamu wao…

TEMBEA NA YESU 2018 SEHEMU YA TANO


PIGANA VITA VYA KIROHO USHINDE.   By Pastor Dominick Massi UTANGULIZI Watu wengi hapendi kupiagani vita vya kiroho kwa sababu wamepumbazwa na shetani,  kupitia mafubdisho potovu. kuna watu wanasema kwa kuwa Yesu amemaliza masalabani sisi tunaishi tu.  Lakini  Yesu alimaliza kwa ujumla wake  huku hawajui kwenye maisha yao bado.  Ufunuo 3:20 Yesu anabisha anataka aingie katika…