FANYA USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU


UTANGULIZI Katika hali ya kawaida ushirika ni jambo la muhimu sana, na yaani kufanya kwa pamoja,kuwaza kwa pamoLakija,kupanga kwa pamoja. Bwana Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa waingojee ahadi ya Baba itakwayokuja juu yao. Roho Mtakatifu,Mungu anapokuja katika maisha yetu, na anakuwa anakuwa na sisi. Luka 24:49 Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu;…

VIZUIZI VYA KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YATU.


WATU WALIOKUKOSEA. Ni muhimu machoni pa Mungu kwamba umsamehe mtu yeyote ambaye amekukosea. Kusamehe ni hali ya pekee ambayo Mungu ameweka duniani kwa ajili ya dhambi zetu kusamehewa na yeye. hii haimaanishi kwamba watenda dhambi wanaweza kuendelea kurudia hali hiyo bila matokeo mabaya , kwa kweli Mungu anaahidi kukabiliana na udhalimu wote ulioko duniani. Hivyo…

TUNDA LA ROHO MTAKATIFU


🙏TUNDA LA UAMINIFU🙏 GALATIA 5:22 Uaminifu ni matunda mengi ambayo yanajumuisha kujitolea kwa Mungu, uaminifu kwa watu unaowafanya wakutegemee ambayo unakuwezesha ufanye na kutimiza majukumu yako. Ni uwezo wa kuweka neno lako kama Mungu. ni azimio thabiti na lisilobadilika ambalo haliathiriwa na mazingira. Kutakuwa na changamoto katika muda wako wa uaminifu hauwezi kubadilishwa na watu,…

TUNDA LA ROHO MTAKATIFU


TUNDA LA UVUMILIVU UVUMILIVU ni uwezo wa kuvumilia shida kwa muda mrefu, Tunda inakuwezesha kujifunza hali ambayo inafundisha na kujenga tabia. Ni uwezo wa kubaki na furaha , nia ya kuendelea licha ya shida inayokutana nayo unakuwa na uwezo wa kuvumilia mpaka mwisho wa jaribu. Uvumilivu kama Zawadi na tunda la Roho. Watu hupenda matunda…

TUNDA LA ROHO MTAKATIFU


TUNDA LA KIASI (SELF-CONTROL) Mithali 25:28 Asiyetawala roho yake Ni mfano wa mji uliobomolewa, usio na kuta. Roho Mtakatifu anapokuwa ndani mwetu na kupata makao, matokeo yake anazaa tunda la Kiasi… Kujitawala, watu wengi wamekosa tunda hili kwa sababu ya kutokuishi kwa Roho. GALATIA 5:24 Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na…

TUNDA LA ROHO MTAKATIFU


🍆TUNDA LA ROHO,🥕 GALATIA 5:22 Lakini tunda la Roho ni 🍏Upendo, upendo ni tunda la muhimu sana Mwumini kuwa nayo ndani yake, Paulo mtume alisema kama sina upendo mimi si kitu, hata kama ningekuwa na huduma kubwa, ningekuwa maarifa zote_ n. K 1 Kor 13. Upendo ndiyo kila kitu katika maisha ya mwumini. Nazungumzia upendo…

KUJAZWA ROHO. MTAKATIFU KILA SIKU.


Yohana : Mlango 3 34 Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo.. UTANGULIZI Wakati ulipopokea Kristo, Roho Mtakatifu hakuja tu kukaa ndani yako, bali alikupa ndani ya maisha ya kiroho, na kukufanya uzaliwa upya kama mtoto wa Mungu. Kujazwa na Roho Mtakatifu, hata hivyo, sio uzoefu…

ROHO MTAKATIFU NI MSAIDIZI WETU


ROHO MTAKATIFU NI MSHAURI MWAMINIFU(Counceller) Roho Mtakatifu anafanya kazi kama mshauri au anayetoa “shauri” kwa watoto wa Mungu. Shauri au ushauri ambao Roho Mtakatifu hutoa ni muhimu kwa maisha yako katika ukristo. Roho Mtakatifu anakuambia nini cha kufanya, wakati wa kufanya hivyo na jinsi ya kufanya hivyo. Lakini upako mliopokea kwake hukaa ndani yenu; wala…

MPOKEE ROHO MTAKATIFU


Kujazwa Roho Mtakatifu ni lazima kwa kama tukitaka kuishi maisha ya ushindi hapa duniani Hivyo tumwombe Mungu kujazwa Roho Mtakatifu. 9 Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa. 10 Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. 11 Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate,…

ROHO MTAKATIFU NI MUNGU


Roho Mtakatifu ni Mungu na ni sawa na wote Mungu Baba na Yesu Kristo. Yeye ni sehemu ya utatu na anaweza kuabudiwa, hata hivyo Yeye ni mpole, utulivu na asiyeonekana. Lakini ndiye aliyekuwepo tangu mwanzo. Mwanzo 1:2 Roho Mtakatifu alikuwepo katika kazi ya uumbaji. I Yohana 5 8 Kwa Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni,…

TUNAHITAJI KUWA NA ROHO MTAKATIFU


Moja ya mambo ya kwanza ambayo Roho Mtakatifu anafanya ni yeye huchukua upendo wa Mungu na hufanya kuwa wa kibinafsi. Sio tena “Anapenda ulimwengu, lakini ananipenda?”. Utaanza kutambua jinsi unavyostahili kuwa kama mtu kwa Mungu. utajua kwanza kiasi cha utunzaji, huruma na mipango ambayo Mungu ameiingiza katika maisha yako na jinsi anavyoendelea kufuatilia maelezo ya…

TAKASA NAFSI YAKO WAKATI UNAPOMGOJA YESU


Yesu Bwana wetu atakuja kama mwivi, wakati wa kujiandaa vema kiroho,nafsi na hata mwili wako. Nafsi ya mwanadamu hutamani vitu vingi vya mwilini hasa ambavyo havina afya ya masuala ya rohoni. Ewe mpendwa katika jina la Bwana Yesu mwokozi wetu jiweke tayari kwa kujitakasa nafsi na uchafu wote wa roho na mwili. 2kor7:1,2 Basi, wapenzi…