NGUVU YA MUNGU ITAKUSAIDIA


6 Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu.
Luka 3 :6

Bwana Yesu ametutuma tukaitangaze INJILI na NGUVU zake zitatusaidia KATIKA maeneo yote….

*8 Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.*
Matendo ya Mitume 1 :8

👇”Nami nitawatia nguvu katika Bwana; nao watatembea huko na huko katika jina lake, asema Bwana.”
(Zek 10: 12)

“Akajibu akaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi.”
(Zek 4: 6)
“Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.”
(Zab 150: 1

1 Haleluya. Mshukuruni Bwana,liitieni jina ,Wajulisheni watu matendo yake.
Zaburi 105 :1

2 Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Zitafakarini ajabu zake zote.
Zaburi 105 :2

3 Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
Zaburi 105 :3

4 Mtakeni Bwana na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.
Zaburi 105 :4

MUNGU AWATIE NGUVU MPYA KATIKA KAZI YAKE AMEN
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤚🤚🤚🤚

Advertisements