WEWE NI MZABIBU MWEMA?


πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡
BIBLIA IMETUMIA MIFANO YA MIMEA KATIKA KUFAFANUA KUHUSU IMANI YETU……….
UNAJUA NI KWA NINI?

IMANI yetu imefananishwa na ukuaji wa mmea mpya uliopandwa na kukua, hatua kwa hatua…….
Ona mfano wa πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡
1 Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
Yohana 15 :1

2 Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
Yohana 15 :2

AU

8 Ulikuwa umepandwa katika udongo mwema, kando ya maji mengi, upate kutoa matawi, na kuzaa matunda, uwe mzabibu mzuri.
Ezekieli 17 :8

Hapa anazungumzia taifa la Mungu Ustawi, baada ya kupandwa katika udongo mzuri walikengeuka na kuwa mzabibu mwitu
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
21 Nami nalikuwa nimekupanda, mzabibu mwema sana, mbegu nzuri kabisa; umegeukaje, basi, kuwa mche usiofaa wa mzabibu-mwitu machoni pangu?
Yeremia 2 :21
HEBU JIULIZE NA MIMI NAJIULIZA.

Bwana Yesu Kristo ndiye mzabibu, sisi matawi yake, ndani ya Baba tumzalie matunda mema yampendezayo Mungu ndani ya Kristo Yesu ili Baba atukuzwe milele kwa matunda mema. Unajua matendo yetu ndiyo matunda?
πŸ‡ *πŸ‘‰8 Hivyo hutukuzwa Baba yangu, kwa vile mzaavyo sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.*
Yohana 15 :8

MATENDO MEMA NDANI YA YESU SIYO INJE YA YESU…… ni mzabibu mwema……….

Mathayo : Mlango 7
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
Mathayo : Mlango 7
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

Ubarikiwe mmnoo.
By Pastor Dominick Massi.
massidominick@gmail.com

Advertisements