KANISA NA MAKUNDI MAALUM


44 Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,
Matendo ya Mitume 2 :44

45 wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja.
Matendo ya Mitume 2 :45

46 Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushiriki chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe,
Matendo ya Mitume 2 :46

*47 wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.*
Matendo ya Mitume 2 :47
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: NINI WAJIBU WA KANISA KUSAIDIA MAKUNDI MAALUM?

MFANO:
1.YATIMA
2.WAJANE.
3.WAFUNGWA.
4.WAZEE(wenye umri mkubwa)
5.Wafungwa.
6.Wenye njaa.
????????????????
BAADA YA KUONA MAANA YA KANISA.
tunagundua kanisa siyo dhehebu wala dini…. Bali ni jamii ya waaminio katika Bwana Yesu Kristo na kujazwa Roho Mtakatifu
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: KAMA AISHIVYO MUNGU KANISA LIMEPEWA MAJUKUMU YAFUATAYO…..

KUWALEA WALE WALIOAMINI KWA MAFUNDISHO YA KWELI.
MATHAYO 28:19,20

✍Pamoja na majukumu hayo tumepewa kuwaonyesha upendo kwa makundi haya….

Naomba tuanze na *YATIMA*
NAOMBA NITOE MCHANGO WANGU KUHUSU HUDUMA YA MAKUNDI MAALUM.

Kanisa… Ni mwili wa Kristo Yesu hapa duniani, ni jamii ya waaminio walionunuliwa kutoka dhambini na kuhamishwa kwenye ufalme wa Mungu.

*12 mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.*
Wakolosai 1 :12

*13 Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;*
Wakolosai 1 :13
: Yatima ni watoto waliofiwa na wazazi wao na sasa wanaishi katika mazingira magumu… 😭😭😭😭
Wanatakiwa wapate….

Malazi
Malezi
Chakula,
Nguo
Elimu n. K

KANISA LINA WAJIBU WA KUANGALIA KUPITIA WATU WAKE KUWASAIDIA HAO….
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 27 Pure and genuine religion in the sight of God the Father means caring for orphans and widows in their distress and refusing to let the world corrupt you.
James 1 :27
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Yakobo : Mlango 1
*27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Zaburi : Mlango 68
*5 Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,Mungu katika kao lake takatifu.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Maana kanisa ni wakala wa Mungu DUNIANI
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Mithali : Mlango 23
10 Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani;Wala usiingie katika mashamba ya yatima;
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: KAMA MUNGU NI BABA WA YATIMAπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
ANATEGEMEA MIMI NA WEWE TUMWAKILISHE MUNGU KWA HAO YATIMA. 😭😭😭😭😭😭😭
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: MUNGU AKIKUSAMEHE NANI ANAWEZA KUKUHUKUMU?
KARIBU KATIKA MADA YETU
MPENDWA
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: πŸ‘‡πŸΌWEMGI HUPATA HATIA KWS KULA MALI YA YATIMA….
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Malaki : Mlango 3
5 Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami nitakuwa shahidi mwepesi juu ya wachawi, na juu ya wazinzi, na juu yao waapao kwa uongo; na juu yao wamwoneao mwenye kuajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, *wamwoneao mjane na yatima,* na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi mimi, asema BWANA wa majeshi.
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏🏏
*OLE WAO WAVUNJAO MIKONO YATIMA*
watoto wanawatunza lakini yatima wanalia
Ayubu : Mlango 22
*9 Umewafukuza Wanamaker’s wajane hali ya utupu,Na mikono ya mayatima imevunjwa.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: *WAJANE*

Wajane….. Wanahitaji msaada wetu…..
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: PIA WATOTO WA MITAANI NI SAWA NA YATIMA.
TUWASAIDIE
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Matendo : Mlango 6
*1 Hata siku zile wanafunzi walipokuwa wakiongezeka hesabu yao, palikuwa na manung?uniko ya Wayahudi wa Kiyunani juu ya Waebrania kwa sababu wajane wao walisahauliwa katika huduma ya kila siku.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: KANISA LA MITUME WALIKUWA NA KITENGO CHA KUWASAIDIA WAJANE….
CHINI YA STEPHANO…….
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: JE!! MJANE YUPI ABAYE ANAPASWA KUSAIDIWA KWA VIWANGO VYOTE?
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 1 timotheo : Mlango 5
*14 Basi napenda wajane, ambao si wazee, waolewe, wazae watoto, wawe na madaraka ya nyumbani; ili wasimpe adui nafasi ya kulaumu.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: *WAJANE KWELI KWELI*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 1 timotheo : Mlango 5
*3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 1 timotheo : Mlango 5
*11 Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 1 timotheo : Mlango 5
*9 Mjane asiandikwe isipokuwa umri wake amepata miaka sitini; naye amekuwa mke wa mume mmoja;*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: *3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli.*
1 Timotheo 5 :3

*4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe, na kuwalipa wazazi wao. Kwa kuwa hili lakubalika mbele za Mungu.*

1 Timotheo 5 :4

*5 Basi yeye aliye mjane kweli kweli, ameachwa peke yake, huyo amemwekea Mungu tumaini lake, naye hudumu katika maombi na sala mchana na usiku.*
1 Timotheo 5 :5

*6 Bali, yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai.*
1 Timotheo 5 :6

*7 Mambo hayo pia uyaagize, ili wasiwe na lawama.*
1 Timotheo 5 :7

*8 Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.*

1 Timotheo 5 :8
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 31 Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;
Mathayo 25 :31

32 na mataifa yote watakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi;
Mathayo 25 :32

33 atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.
Mathayo 25 :33

34 Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu;
Mathayo 25 :34

35 kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha;
Mathayo 25 :35

36 nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.
Mathayo 25 :36

37 Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha?
Mathayo 25 :37

38 Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?
Mathayo 25 :38

39 Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?
Mathayo 25 :39

40 Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
Mathayo 25 :40

41 Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;
Mathayo 25 :41

42 kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;
Mathayo 25 :42

43 nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.
Mathayo 25 :43

44 Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie?
Mathayo 25 :44

*45 Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi.*
Mathayo 25 :45

*46 Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele.*
Mathayo 25 :46
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Unaona Bwana Yesu Kristo mwenyewe alisisitiza kuwahudumia watu hawa ambao wanahitaji huruma ya Mungu juu ya maisha yao kwani kuwasaidia watu hawa ni kama umemfanyia Mungu…….
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: πŸ‘‚πŸ»TUNAPENDA KUSIKIA UBARIKIWEπŸ–, uwe TajiriπŸ–
Upandishwe cheoπŸ–
UPAKO WA KINABIIπŸ–

Hayo ni vizuri
Lakini njia iliyo nzuri ni kutimiza mapenzi ya Mungu na Kuwasaidia maskini…… Wenye njaa, wagonjwa n.k
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Mathayo : Mlango 19
*21 Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: 2 Wakoritho : Mlango 8
*9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: Wagalatia : Mlango 2
*10 ila neno moja tu walitutakia, tuwakumbuke maskini; nami neno lilo hilo nalikuwa na bidii kulifanya.*
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: “`πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–

KANISANI LEO
NIπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ1 Ndugu zangu, imani ya Bwana wetu Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, msiwe nayo kwa kupendelea watu.
Yakobo 2 :1

2 Maana akiingia katika sinagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri; kisha akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu;
Yakobo 2 :2

3 nanyi mkimstahi yule aliyevaa mavazi mazuri, na kumwambia, Keti wewe hapa mahali pazuri; na kumwambia yule maskini, Simama wewe pale, au keti miguuni pangu,
Yakobo 2 :3

4 je! Hamkufanya hitilafu mioyoni mwenu, mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?
Yakobo 2 :4

5 Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni, Je! Mungu hakuwachagua maskini wa dunia wawe matajiri wa imani na warithi wa ufalme aliowaahidia wampendao?
Yakobo 2 :5

6 Bali ninyi mmemvunjia heshima maskini. Je! Matajiri hawawaonei ninyi na kuwavuta mbele ya viti vya hukumu?
Yakobo 2 :6

7 Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?
Yakobo 2 :7

8 Lakini mkiitimiza ile sheria ya kifalme kama ilivyoandikwa, Mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vema.
Yakobo 2 :8

9 Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji.
Yakobo 2 :9

“`
[11/9, 15:02] Pastor Dominick massi: NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE KUTOKA JUU ALIKO BABA IWE JUU YA MAISHA YETU….
TUONE ENEO HILI AMEN

Advertisements