SHINDA VITA VYA KIROHO


Mungu awabariki kwa kusoma blog hii.Leo tunazungumzia vita vya kiroho.
Vita ni mapigano kati ya pande mbili kushindania ufalme,ili upande utakaoshinda utawale.
Kumbuka hapa duniani sheria ya ulimwengu wa mwili ni roho yenye mwili ndiyo inayotawala na roho hiyo anayo mwanadamu ndiyo maana ndani ya Bustani ya Edeni shetani waliwaonea wivu wanadamu na kuwadanganya ili achukuuu utawala ambao Mungu alimpatia mwanadamu. Mwazo 1:28″ Mungu akawabariki,Mungu akawaambia,zaeni,mkaongezeke,mkaijaze nchi, na kuitiisha,mkawatawale samaki wa baharini na ndenge wa ngani…”
Lakini shetani aliwaangausha  Mungu akaweka uadui kati ya uzao wa nyoka na mwanamke, Mwazo 3:15
Tangu wakati huo ni vita Ufunuo12:7-16.
Lk 4:1-12
Hivyo tunapaswa kumshinda shetani kwa Neno La Mungu  na damu ya Yesu katika ulimwengu wa Roho
EFESO 6:10-18
2kor 10:3
Dan 10:11-20
Hivyo mpendwa Niko hapa nikueleze kuwa lazima ushinde vita vilivyo mbele yako ili uwe MFALME au mtawala katika eneo Fulani.
Mfano Daudi alitatua changamoto ya Goliath wa Gadhi ambaye alikuwa tishio kwa Israeli taifa la Mungu.
1Samw 17:44-54
Daudi alimshinda adui yake kwa ujasiri Mkubwa.
Kumbuka ahadi ya atakayemwua  Goliath
1.Atapewa binti ya MFALME kuwa Mke wake.
2.Mbari ya baba yake itasamehewa kodi.
3.Atatajirishwa na MFALME.
1 Samwel 17:23-27

NAMNA YA KUMSHIDA ADUI

 •    Kuwa hodari EFESO 6:10-18  
 •     Imani kwa Mungu 
 •    Uwe umeokoka  
 • Uwe umesamehewa makosa/  dirii ya haki
 • Uwe mkweli
 • Utayari wa Injili
 • Jaa Neno/ Imeandikwa
 • Sala zote za sala na maombi  Efeso  6:10-18

  By Pastor Dominick Massi.

  Advertisements