“`NURU YAKO IANGAZE MBELE YA ULIMWENGU


💡💡💡💡💡💡💡💡💡💡💡 Bwana Yesu Kristo asifiwe Bwana Yesu ametuangaza kuwa nuru yetu iwaangazie ulimwengu wote wapate kuona njia ya nzuri ya maisha. Hapa inamaana ya watu wasiomjua Mungu wayatazamapo matende yetu mema wamtukuze Mungu wetu. 14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Mathayo 5 :14 Sisi ni nuru ya ulimwengu... … Continue reading “`NURU YAKO IANGAZE MBELE YA ULIMWENGU

Advertisements

USICHOKE KUOMBA MUNGU ANAJIBU MAOMBI YETU


🛐🛐🛐🛐🛐🛐 mimi kama baba najabu maombi ya mtoto wangu ikiwa ameomba sawa sawa na kama anavyopenda ni vema. Mfano mtoto wa miaka 5 akiomba kuendesha gari unamruhusu? Maombi yanajibiwa kulingana na mapenzi ya Mungu. Penda kujifunza kukua kiroho ili Mungu akujibu aina fulani ya maombi. 1 Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, … Continue reading USICHOKE KUOMBA MUNGU ANAJIBU MAOMBI YETU

KUTOA MWILI WAKO KAMA SADAKA TAKATIFU KWA MUNGU ALIYEKUPA HAI.


Bwana Yesu Kristo asifiwe 🎷🎷🎷🎷🎷 Mpendwa katika jina la Yesu tunapaswa kujitoa miili yetu kama sadaka kwa Mungu aliye hai ili kuleta ufanisi katika huduma yetu. Ili kuleta mabadiliko tunapaswa kujikana na kumfuata Yesu kwa moyo wa kweli na kufanya kazi kwa kadiri ya imani yetu katika mwili wa Kristo ili ujengwe na kuukuza. 1 … Continue reading KUTOA MWILI WAKO KAMA SADAKA TAKATIFU KWA MUNGU ALIYEKUPA HAI.

ADUI WA ROHO YAKO NI MWILI. EPUKA TAMAA ZA MWILI.


Bwana Yesu Kristo asifiwe...... Kati mambo mengi yalitokea kwa maisha ya utakatifu kwa wengi ni kushindwa kuweza kutawala tamaa za mwili. Mwili wako ni adui wa roho yako mpendwa... Wewe kama mpitaji na msafiri hapa duniani usifuate tamaa za mwili. 11 Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho. 1 … Continue reading ADUI WA ROHO YAKO NI MWILI. EPUKA TAMAA ZA MWILI.

*HUDUMA YA UKUHANI._mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu._


*HUDUMA YA UKUHANI.* _mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu._ 🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊 ```1 Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni, Waebrania 8 :1 2 mhudumu wa patakatifu, na wa … Continue reading *HUDUMA YA UKUHANI._mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu._

TUNALITAZAMIA TUMAINI LENYE BARAKA


BWANA YESU ASIFIWE 🎷🎷🎷 Tunatazamia tumaini lenye baraka na katika Kristo Yesu Bwana wetu. Tumaini ni matazamio kwa maisha ya baadaye kwa mtu katika maisha ya hapa duniani na katika mbingu mpya na nchi mpya sawa na ufunuo 21. Mpendwa katika maisha haya tunapaswa kutazamia tumaini lenye baraka katika Bwana Yesu mfalme wetu Amen. 11 … Continue reading TUNALITAZAMIA TUMAINI LENYE BARAKA

ROHO MTAKATIFU ANENA WAZI


Bwana Yesu asifiwe wapendwa...... Roho Mtakatifu ameshatuonya kuwa duniani kutatokea roho ya mpinga Kristo na manabii wa uwongo, hivyo usiamini kila roho. Hivi sasa kumetokea maombo ya ajabu sana duniani. 1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yohana 4 :1 … Continue reading ROHO MTAKATIFU ANENA WAZI